Ufafanuzi msingi wa mganda katika Kiswahili

: mganda1mganda2mganda3

mganda1

nominoPlural miganda

 • 1

  fungu la mashuke ya mpunga au ngano baada ya kuvunwa.

 • 2

  fungu la senene.

Matamshi

mganda

/mganda/

Ufafanuzi msingi wa mganda katika Kiswahili

: mganda1mganda2mganda3

mganda2

nominoPlural miganda

 • 1

  ngoma maalumu inayochezwa na wenyeji wa Dar es Salaam na baadhi ya sehemu za Pwani ya Tanzania, pia kandokando ya Ziwa Nyasa.

Matamshi

mganda

/mganda/

Ufafanuzi msingi wa mganda katika Kiswahili

: mganda1mganda2mganda3

mganda3

nominoPlural miganda

 • 1

  msafara wa watu waendao kwa miguu.

 • 2

  gunda au mlio wa gunda kwa kuashiria jambo k.v. kutoka au kurejea kwa msafara.

Matamshi

mganda

/mganda/