Ufafanuzi wa mganga katika Kiswahili

mganga

nominoPlural waganga

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kutibu wagonjwa.

    methali ‘Mganga hajigangi’
    tabibu, daktari

Matamshi

mganga

/mganga/