Ufafanuzi wa mgangaungo katika Kiswahili

mgangaungo

nominoPlural migangaungo

  • 1

    mti unaofanana na mtopetope ambao utomvu wa majani yake hutumiwa kuzibia matundu ya vitu vya kusukwa k.v. nyungo.

    mwangele

Matamshi

mgangaungo

/mgangawungɔ/