Ufafanuzi wa mgange katika Kiswahili

mgange

nomino

  • 1

    mmea ambao huliwa kama mboga na hutumiwa kutengenezea dawa ya macho na masikio.

    mwangani, mgagani, mkabilishamsi

Matamshi

mgange

/mgangÉ›/