Ufafanuzi wa mgango katika Kiswahili

mgango

nomino

  • 1

    uungaji wa kitu kilichovunjika, hasa mifupa.

Matamshi

mgango

/mgangÉ”/