Ufafanuzi wa mgawaji katika Kiswahili

mgawaji

nomino

  • 1

    mtu anayetoa au kugawa vitu kwa watu.

Matamshi

mgawaji

/mgawaʄi/