Ufafanuzi wa mgawanyo katika Kiswahili

mgawanyo

nominoPlural migawanyo

  • 1

    tendo au namna ya kugawanya.

Matamshi

mgawanyo

/mgawaɲɔ/