Ufafanuzi wa mgemo katika Kiswahili

mgemo

nomino

  • 1

    namna ya kukinga tembo kutoka mnazini.

Matamshi

mgemo

/mgɛmɔ/