Ufafanuzi wa mgomo katika Kiswahili

mgomo

nominoPlural migomo

  • 1

    tendo la kundi la watu k.v. wafanyakazi au wanafunzi kukataa kuendelea na shughuli au kazi yao mpaka masharti fulani yatimizwe.

Matamshi

mgomo

/mgɔmɔ/