Ufafanuzi wa mgongano katika Kiswahili

mgongano

nomino

  • 1

    hali ya vitu viwili au zaidi kukutana kwa nguvu.

Matamshi

mgongano

/mgɔnganɔ/