Ufafanuzi wa mgoni katika Kiswahili

mgoni

nominoPlural wagoni

  • 1

    mtu aliyefumaniwa kwa kufanya tendo la zinaa na mke au mume wa mtu mwingine.

Matamshi

mgoni

/mgɔni/