Ufafanuzi wa mgono katika Kiswahili

mgono

nominoPlural migono

  • 1

    mtego wa samaki.

    dema

Matamshi

mgono

/mgɔnɔ/