Ufafanuzi wa mgumba hana kilio katika Kiswahili

mgumba hana kilio

msemo

  • 1

    mtu asiyekuwa na mtoto akifa ndiyo basi, hakumbukwi tena.