Ufafanuzi wa mguno katika Kiswahili

mguno

nomino

  • 1

    sauti ya kuonyesha kuchukia jambo, kukataa au kubeza.

Matamshi

mguno

/mgunɔ/