Ufafanuzi wa mhalibori katika Kiswahili

mhalibori

nominoPlural mihalibori

  • 1

    kipande cha mshono wa kanzu kilicho kwenye uwazi wa mbele wa kanzu kutoka kifuani hadi shingoni.

    lisani

Asili

Kar

Matamshi

mhalibori

/mhalibɔri/