Ufafanuzi msingi wa mhanga katika Kiswahili

: mhanga1mhanga2

mhanga1

nomino

  • 1

    mnyama mkubwa wa porini anayefanana na nguruwe usoni, mwenye masikio madogo yaliyochongoka, kiduva mgongoni, miguu mifupi yenye nguvu na ngozi ya rangi ya kijivu iliyochanganyika na kahawia.

Matamshi

mhanga

/mhanga/

Ufafanuzi msingi wa mhanga katika Kiswahili

: mhanga1mhanga2

mhanga2

nomino

  • 1

    utoaji wa kafara kwa njia ya kuchinja ili kumwaga damu ya kiumbe.

Matamshi

mhanga

/mhanga/