Ufafanuzi wa mharara katika Kiswahili

mharara

nomino

  • 1

    sehemu ya ardhi ambayo imemeguka na kufanya mteremko mkali.

    mporomoko, mbomoko

Matamshi

mharara

/mharara/