Ufafanuzi wa mhariri katika Kiswahili

mhariri

nominoPlural wahariri

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kusoma, kusahihisha na kusanifu miswada ya k.v. makala au vitabu.

    edita

  • 2

    mtu mwenye dhamana ya maandishi yote katika kitabu au gazeti.

Asili

Kar

Matamshi

mhariri

/mhariri/