Ufafanuzi wa mhashamu katika Kiswahili

mhashamu

nominoPlural wahashamu

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtu maarufu anayeheshimiwa.

    ‘Mhashamu Kadinali’

Asili

Kar

Matamshi

mhashamu

/mha∫amu/