Ufafanuzi wa mhashiri katika Kiswahili

mhashiri

nominoPlural mihashiri

  • 1

    Kibaharia
    boriti inayokaza mlingoti wa chombo cha majini.

  • 2

    mhimili wa mlingoti.

Asili

Kar

Matamshi

mhashiri

/mha∫iri/