Ufafanuzi wa mhasiriwa katika Kiswahili

mhasiriwa

nominoPlural wahasiriwa

  • 1

    mtu aliyepata hasara, kudhurika au kufilisiwa.

Matamshi

mhasiriwa

/mhasiriwa/