Ufafanuzi wa mhemo katika Kiswahili

mhemo

nomino

  • 1

    upumuaji wa nguvu na haraka; utoaji pumzi nje.

Matamshi

mhemo

/mhɛmɔ/