Ufafanuzi wa mheshimiwa katika Kiswahili

mheshimiwa

nominoPlural waheshimiwa

  • 1

    neno la heshima linalotamkwa kabla ya kutaja jina la mtu maarufu; mtu mwenye wadhifa.

    muadhamu, maulana

Asili

Kar

Matamshi

mheshimiwa

/mhɛ∫imiwa/