Ufafanuzi wa mhifadhi katika Kiswahili

mhifadhi

nominoPlural wahifadhi

  • 1

    mtu anayechunga na kuangalia kitu kisiharibiwe.

    mdhibiti

Asili

Kar

Matamshi

mhifadhi

/mhifaði/