Ufafanuzi wa mhinzirani katika Kiswahili

mhinzirani, mhenzirani

nominoPlural mihinzirani

  • 1

    mti unaofanana na mwanzi lakini hauna uwazi ndani na matawi yake hukatwa na kutengenezwa fimbo.

Matamshi

mhinzirani

/mhinzirani/