Ufafanuzi wa mhisani katika Kiswahili

mhisani

nomino

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kusaidia watu au kutoa msaada kwa mtu au watu wenye shida, nchi, n.k..

    mfadhili

Asili

Kar

Matamshi

mhisani

/mhisani/