Ufafanuzi wa mhoji katika Kiswahili

mhoji

nominoPlural wahoji

  • 1

    mtu anayeuliza mtu au watu maswali ili kupata ukweli wa jambo au mambo fulani.

Asili

Kar

Matamshi

mhoji

/mhɔʄi/