Ufafanuzi wa mhojiwa katika Kiswahili

mhojiwa

nomino

  • 1

    mtu anayeulizwa maswali au kudodoswa ili kupata ukweli wa jambo au mambo.

Asili

Kar

Matamshi

mhojiwa

/mhɔʄiwa/