Ufafanuzi wa mhubiri katika Kiswahili

mhubiri

nomino

  • 1

    mtu ambaye hutangaza au kutoa mawaidha ya dini.

  • 2

    hatibu, mfawidhi

Asili

Kar

Matamshi

mhubiri

/mhubiri/