Ufafanuzi wa mhuni katika Kiswahili

mhuni

nominoPlural wahuni

  • 1

    mtu asiye na makazi maalumu.

  • 2

    mtu asiye na tabia nzuri.

    mkora

Matamshi

mhuni

/mhuni/