Ufafanuzi wa mikiki katika Kiswahili

mikiki

nominoPlural mikiki

  • 1

    tendo linalofanywa kwa nguvu na majivuno mengi.

    ‘Aliingia kwa mikiki’

Matamshi

mikiki

/mikiki/