Ufafanuzi wa miliki katika Kiswahili

miliki

kitenzi elekezi

  • 1

    kuwa na.

    ‘Mali yote ya umma inamilikiwa na serikali’
    hodhi

  • 2

    tamalaki, tawala

Asili

Kar

Matamshi

miliki

/miliki/