Ufafanuzi wa milionea katika Kiswahili

milionea

nomino

  • 1

    mtu mwenye fedha na mali nyingi sana zenye thamani ya mamilioni.

Matamshi

milionea

/miliɔnɛja/