Ufafanuzi wa milioni katika Kiswahili

milioni

nominoPlural milioni

  • 1

    (1,000,000) idadi ya elfu mara elfu.

  • 2

    laki kumi.

Asili

Kng

Matamshi

milioni

/miliɔni/