Ufafanuzi wa milki katika Kiswahili

milki

nominoPlural milki

  • 1

    eneo la utawala wa mfalme, malkia, chifu, mtemi, n.k..

  • 2

    jumla ya mali aliyonayo mtu au shirika fulani.

Asili

Kar

Matamshi

milki

/milki/