Ufafanuzi wa mimi katika Kiswahili

mimi

kiwakilishi

  • 1

    (sisi) nafsi ya kwanza umoja.

    ‘Mimi mwenyewe’
    ‘Mimi nafsi yangu’

Matamshi

mimi

/mimi/