Ufafanuzi wa minajili katika Kiswahili

minajili

kielezi

  • 1

    kwa ajili ya; kwa madhumuni ya.

    ‘Alikuja nyumbani kwa minajili ya kumtibu mgonjwa’

Asili

Kar

Matamshi

minajili

/minaʄili/