Ufafanuzi wa mindi katika Kiswahili

mindi

nomino

  • 1

    mnyama anayefanana na paa.

    funo

Matamshi

mindi

/mindi/