Ufafanuzi wa ming’inya katika Kiswahili

ming’inya

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    shika kwa nguvu na kukamua.

    bigija

Matamshi

ming’inya

/miŋiɲa/