Ufafanuzi wa mirimo katika Kiswahili

mirimo

nominoPlural mirimo

  • 1

    kazi, shughuli, agh. inayorithiwa kutoka kwa wazee hadi kwa watoto.

  • 2

    siri ya waganga au wachawi.

    ‘Mchawi akifichua mirimo ya wenzake huuawa’

Matamshi

mirimo

/mirimÉ”/