Ufafanuzi wa misheni katika Kiswahili

misheni

nominoPlural misheni

  • 1

    maskani ya wafanyakazi wa kanisa k.v. mapadri au masista.

  • 2

    kundi la watu wanaotumikia na kutangaza dini ya Ukristo.

Asili

Kng

Matamshi

misheni

/mi∫ɛni/