Ufafanuzi wa mithaki katika Kiswahili

mithaki

kivumishi

  • 1

    -enye hakika.

    ‘Ahadi mithaki’
    kamilifu, thabiti, madhubuti

Asili

Kar

Matamshi

mithaki

/miθaki/