Ufafanuzi wa mithili katika Kiswahili

mithili

kiunganishi

  • 1

    hutumika kufananisha kitu kimoja na kingine; mfano wa.

    ‘Amekuja mithili ya mwizi’
    kama

Asili

Kar

Matamshi

mithili

/miθili/