Ufafanuzi wa mithilisha katika Kiswahili

mithilisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fananisha jambo moja na jingine.

    linganisha

Asili

Kar

Matamshi

mithilisha

/miɚilisa/