Ufafanuzi wa miwani katika Kiswahili

miwani

nomino

  • 1

    kifaa kilichoundwa kutokana na vipande viwili vya kioo, kinachovaliwa mbele ya macho ili kusaidia yaone vizuri.

Asili

Kar

Matamshi

miwani

/miwani/