Ufafanuzi wa mjamzito katika Kiswahili

mjamzito

nomino

  • 1

    mwanamke mwenye mimba.

Matamshi

mjamzito

/mʄamzitɔ/