Ufafanuzi wa mjenzi katika Kiswahili

mjenzi

nomino

  • 1

    mtu anayejenga nyumba.

  • 2

    mtu anayefanya kazi ya kujenga majumba.

Matamshi

mjenzi

/mʄɛnzi/