Ufafanuzi msingi wa mjinga katika Kiswahili

: mjinga1mjinga2

mjinga1

nominoPlural wajinga, Plural mijinga

 • 1

  mtu asiyejua kitu au jambo fulani.

  fala, jura, gulagula

 • 2

  tamko la dharau au tusi kwa anayechukuliwa kutojua kitu.

Matamshi

mjinga

/mʄiŋga/

Ufafanuzi msingi wa mjinga katika Kiswahili

: mjinga1mjinga2

mjinga2

nominoPlural wajinga, Plural mijinga

 • 1

  mbono kaburi.

  msanapiti

Matamshi

mjinga

/mʄinga/