Ufafanuzi wa mjo katika Kiswahili

mjo

nominoPlural mijo

  • 1

    namna ya kuja.

    ‘Maneno uliyotueleza ni mazuri lakini mjo wako unatutia wasiwasi’
    ujaji

Matamshi

mjo

/mʄɔ/