Ufafanuzi wa mjoho katika Kiswahili

mjoho

nominoPlural mijoho

  • 1

    mti unaofanana na mtufaha pori unaotoa matunda yanayoitwa mafaume au matunda damu.

Matamshi

mjoho

/mʄɔhɔ/